Kanisa la Waadventista Wasabato Kinondoni limeanzisha kundi liitwalo Mkwajuni. Uzinduzi wa kundi hili ulifanywa siku ya Jumamosi ya tarehe 2-08.2014. Kwaya mbalimbali zilihudumu, ikiwepo kwaya kutoka Chato SDA, Kinondoni SDA na Kwaya ya Vijana ya Kanisa la Waadventista Wasabato Kinondoni na kikundi cha Gethsemane.
JUU: Kwaya ya Kanisa, Kinondoni SDA ikihudumu katika uzinduzi huo
No comments:
Post a Comment