JUU: Wanakwaya wa SDA Kinondoni wakiwa tayari wamejipanga kwenye treni kwa ajili ya kuanza safari ya kwenda Kigoma
JUU: Mzee wa Kanisa, Jared Onyachi (aliyesimama) akiwaaga wanakwaya
JUU: Wanakwaya wakiwa wamelala usiku wakati safari ikiendelea
JUU: Wanakwaya wakipata kipooza njaa
JUU: Wanakwaya wakifanya ibada ndani ya treni wakati safari ikiendelea
JUU: Mwanakwaya na Mwinjilisti Eliya Nyawazwa akitoa somo kwa wasafiri ndani ya treni
JUU: Burudani ya nyimbo pia ilikuwepo. Mzee ambaye ni kipofu akipiga filimbi ndani ya treni
JUU: Hatimaye safari ikafika mwisho, Kigoma mwisho wa reli
JUU: Wanakwaya wa SDA Kinondoni wakiwa wamepumzika baada ya safari ndefu
JUU: Wanakwaya wa SDA Kinondoni wakijihudumia chakula cha usiku
Wanakwaya wakiwa katika eneo la kambi JUU: Kwaya mbalimbali za Kigoma zikihudumu kwenye kambi |
JUU: Watu waliohudhuria kwenye kambi
JUU: Baadhi ya washiriki na wanakwaya wa SDA Kigoma wakiwaaga wanakwaya wa Kinondoni
No comments:
Post a Comment