ADVERTISE WITH US

ADVERTISE WITH US

Adventist Logo

Adventist Logo

Tuesday, 18 March 2014

Safari ya kwaya ya SDA Kinondoni kwenda kwenye makambi Kigoma, Julai 2012



JUU: Baadhi ya wanakwaya wa SDA Kinondoni wakiwa wanafunga mizigo tayari kwa kuanza safari




JUU: Wanakwaya wa SDA Kinondoni wakiwa tayari wamejipanga kwenye treni kwa ajili ya kuanza safari ya kwenda Kigoma

JUU: Mzee wa Kanisa, Jared Onyachi (aliyesimama) akiwaaga wanakwaya





JUU: Treni waliyoipanda wanakwaya wa SDA Kinondoni ikijiandaa kuondoka



JUU: Wanakwaya wakiwa wamelala usiku wakati safari ikiendelea




JUU: Wanakwaya wakipata kipooza njaa

JUU: Wanakwaya wakifanya ibada ndani ya treni wakati safari ikiendelea




JUU: Mwanakwaya na Mwinjilisti Eliya Nyawazwa akitoa somo kwa wasafiri ndani ya treni

JUU: Burudani ya nyimbo pia ilikuwepo. Mzee ambaye ni kipofu akipiga filimbi ndani ya treni



JUU: Hatimaye safari ikafika mwisho, Kigoma mwisho wa reli













JUU: Washiriki na wanakwaya wa SDA Kigoma walikuja kuwapokea wanakwaya wa Kinondoni SDA




JUU: Wanakwaya wa SDA Kinondoni wakiwa wamepumzika baada ya safari ndefu

JUU: Wanakwaya wa SDA Kinondoni wakijihudumia chakula cha usiku
Wanakwaya wakiwa katika eneo la kambi

JUU: Kwaya mbalimbali za Kigoma zikihudumu kwenye kambi


JUU: Watu waliohudhuria kwenye kambi

JUU: Mhutubu mkuu wa kambi, Mch. Godwin Lekundayo akizungumza na wanakwaya wa Kinondoni



JUU: Baadhi ya washiriki na wanakwaya wa SDA Kigoma wakiwaaga wanakwaya wa Kinondoni









Jipatie DvD namba 3 yenye kiwango cha Hali ya Juu Kabisa ya Kwaya ya SDA Kinondoni. Unaweza kufika Kanisani Kinondoni Hananasifu au wasiliana na Samson Masanja 0712900319 au Jonathan Lulinga 0715811137