KINONDONI SDA CHOIR
ADVERTISE WITH US
Adventist Logo
Tuesday, 24 February 2015
Monday, 2 February 2015
Effot Morning Star TV
JUU: Kwaya ya Kanisa la Kinondoni SDA ikihudumu katika efoti inayorushwa na kituo cha Morning Star TV 02 Februari, 2015
Wednesday, 13 August 2014
KANISA LA SDA KINONDONI LAANZISHA KUNDI
Kanisa la Waadventista Wasabato Kinondoni limeanzisha kundi liitwalo Mkwajuni. Uzinduzi wa kundi hili ulifanywa siku ya Jumamosi ya tarehe 2-08.2014. Kwaya mbalimbali zilihudumu, ikiwepo kwaya kutoka Chato SDA, Kinondoni SDA na Kwaya ya Vijana ya Kanisa la Waadventista Wasabato Kinondoni na kikundi cha Gethsemane.
JUU: Kwaya ya Kanisa, Kinondoni SDA ikihudumu katika uzinduzi huo
Monday, 11 August 2014
Wednesday, 9 April 2014
Baadhi ya matukio ya Kwaya Day ya kwaya ya kanisa la Kinondoni SDA iliyofanyika tarehe 5 April, 2014
JUU: Baadhi ya wageni na wenyeji waliohudhuria siku maalum ya kwaya ya Kinondoni SDA.
JUU: Katibu wa Kwaya ya Kinondoni SDA akitoa historia ya kwaya tangu ilipoazishwa
JUU: Mgeni rasmi, Mr. Daniel Kisa akitoa somo maalum siku hiyo ya Kwaya
JUU: Kwaya ya Kinondoni SDA ikiwa pamoja na waimbaji wa zamani wa kwaya hiyo, wakiimba wimbo wa "FURAHIA NAKWENDA KUWAELEZA"
JUU: Kwaya ya Nazareth SDA ikitoa huduma ya nyimbo siku hiyo maalum
JUU: Kwaya ya Vijana ya Kinondoni SDA ikitoa huduma nyimbo
JUU: Kikundi cha ACACIA kutoka Mwenge SDA kikiwabariki watu kwa njia nyimbo siku hiyo
JUU: Solo Artist, Angel Magoti akitoa huduma ya nyimbo katika siku hiyo maalum
JUU: Kikundi cha Gethsemane cha Kanisa la Kinondoni SDA, kikiwabariki watu kwa njia nyimbo siku hiyo maalum
JUU: Mwalimu Gedion Kasozi akiimba 'live' pamoja na wanakwaya wa Kinondoni wimbo wa 'Atete'
JUU: Mwalimu Gedion Kasozi akihojiwa maswali mbalimbali kuhusu kwaya hiyo
JUU: Mwalimu Gedion Kasozi akitoa ushuhuda na changamoto alizopitia tangu alipoanza kufundisha kwaya ya kanisa ya Kinondoni SDA
Subscribe to:
Posts (Atom)