JUU: Baadhi ya wageni na wenyeji waliohudhuria siku maalum ya kwaya ya Kinondoni SDA.
JUU: Katibu wa Kwaya ya Kinondoni SDA akitoa historia ya kwaya tangu ilipoazishwa
JUU: Mgeni rasmi, Mr. Daniel Kisa akitoa somo maalum siku hiyo ya Kwaya
JUU: Kwaya ya Kinondoni SDA ikiwa pamoja na waimbaji wa zamani wa kwaya hiyo, wakiimba wimbo wa "FURAHIA NAKWENDA KUWAELEZA"
JUU: Kwaya ya Nazareth SDA ikitoa huduma ya nyimbo siku hiyo maalum
JUU: Kwaya ya Vijana ya Kinondoni SDA ikitoa huduma nyimbo
JUU: Kikundi cha ACACIA kutoka Mwenge SDA kikiwabariki watu kwa njia nyimbo siku hiyo
JUU: Solo Artist, Angel Magoti akitoa huduma ya nyimbo katika siku hiyo maalum
JUU: Kikundi cha Gethsemane cha Kanisa la Kinondoni SDA, kikiwabariki watu kwa njia nyimbo siku hiyo maalum
JUU: Mwalimu Gedion Kasozi akiimba 'live' pamoja na wanakwaya wa Kinondoni wimbo wa 'Atete'
JUU: Mwalimu Gedion Kasozi akihojiwa maswali mbalimbali kuhusu kwaya hiyo
JUU: Mwalimu Gedion Kasozi akitoa ushuhuda na changamoto alizopitia tangu alipoanza kufundisha kwaya ya kanisa ya Kinondoni SDA